Mangenita 26/4 atakuwa ka picha hizi

Unaratibu maandamano katika jamii ya watu ambao unajua hata picha ya nandy kukaa uchi tu inaweza wasahaulisha maandamano, na bado unajipa moyo yatafanikiwa.. Akili ni nywele.
 
vijana tunaodhani wako timamu vizur ndo wanaoandika haya!! acha tu tuibiwe trioni na kadhalika mana hatjielewi
 
vijana tunaodhani wako timamu vizur ndo wanaoandika haya!! acha tu tuibiwe trioni na kadhalika mana hatjielewi

Na wewe kuchukua muda wako kusoma basi oyeeeeeeeeeee
Ha ha haaaaaaa.. tatwizo lako ni jiongeze utafika
 

Matokeo ya shule za kata zao la chama cha mapinduzi


Sasa embu rudia wewe mwenyewe kusoma ulichoandika kama utaelewa ukielewa then tujuze
 
Ila Mangenita muongo aiseeee.. kajiendea kutafuta kusaidiwa huku wa hapa nchini anawasukuma.. halafu anapiga biz cards pucha alizoenda kuchukua mwenyewe na kudanganya wadanganyika eti wamemfata kwa ndege.. ha ha haaaaaaaaaaaa

Kwake walikuwa hawapajui ha ha haaaaaaa

Kesho atalia haswaaa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…