lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 #1 Kama una neno au maneno yenye kubeba hekima, ya kwako binafsi, ya Wanafalsafa (Philosophers), Watu mashuhuri (Celebrities), Wahenga (ancestors), Viongozi (Leaders) tupia hapa ili iwajenge na wengine
Kama una neno au maneno yenye kubeba hekima, ya kwako binafsi, ya Wanafalsafa (Philosophers), Watu mashuhuri (Celebrities), Wahenga (ancestors), Viongozi (Leaders) tupia hapa ili iwajenge na wengine
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 Thread starter #2 Wema wa mara 1,000 hupotea mara moja na ubaya wa mara moja hukaa mara 1,000. - Lemburis Kivuyo
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 Thread starter #3 "Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa mara nyingi..." -WinstonChurchil
"Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa mara nyingi..." -WinstonChurchil
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 Thread starter #4 "Tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa, akili ina kikomo, ujinga hauna kikomo." -Albert_Einstein
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 Thread starter #5 "Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo." -Harry_Truman
"Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo." -Harry_Truman
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 Thread starter #6 Msingi mkuu wa mahusiano ni mawasiliano ya kumsikiliza na kumuelewa kwanza mwenzako kabla ya wewe kueleweka -Lemburis Kivuyo
Msingi mkuu wa mahusiano ni mawasiliano ya kumsikiliza na kumuelewa kwanza mwenzako kabla ya wewe kueleweka -Lemburis Kivuyo
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,030 Reaction score 15,232 Sep 7, 2018 #7 malipo ni hapahapa duniani (by me)
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,380 Reaction score 25,482 Sep 7, 2018 Thread starter #8 Kuna bidhaa moja tu ukilipia dukani unapata hapohapo, "ujinga" Lakini hekima mpaka iagizwe kutoka mbali. -Lemburis Kivuyo
Kuna bidhaa moja tu ukilipia dukani unapata hapohapo, "ujinga" Lakini hekima mpaka iagizwe kutoka mbali. -Lemburis Kivuyo
Emmanuel_Adam14 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2015 Posts 670 Reaction score 745 Sep 7, 2018 #9 Fanya ufanyavyo isifke jioni ukiwa na uchafu moyoni!! E.14
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Sep 7, 2018 #10 Ukichoka kutunza SIRI, kubali kufumaniwa yaishe! By me.
Gef JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 506 Reaction score 455 Nov 14, 2024 #11 pilipili kichaa said: malipo ni hapahapa duniani (by me) Click to expand... ππππ jinga sana
pilipili kichaa said: malipo ni hapahapa duniani (by me) Click to expand... ππππ jinga sana