Maneno ya Busara!

Haya chacha; wanaosema Mnyika kakosea kuthema dhaifu waseme ndiooooooooooooooo!!!!!!
 
Mnyika umefanya vizuri. Umesema, pamoja na kuwa na uchache wenu.
 
Safi sana kaka kwa kuleta hii. Ukweli utabaki ukweli tu.

Big up mnyika kwa kusema ukweli.
 
Safi sana kaka kwa kuleta hii. Ukweli utabaki ukweli tu.

Big up mnyika kwa kusema ukweli.

Kwa siasa, uongo utaendelea kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Nimeipenda sana

nadhani JJ, ZITTO & co waliisoma hii philosophy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…