Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini alimwambia Ferguson mshamba wewe na tumewafunga leo ndo jamaa akadata!!
Chezo wenyewe ukiwaambia hivyo wanakuwa wagomvi kama kocha wao! Subiri watakuja sasa hiviNdo matatizo ya kubebwa na marefa hayo..hahaaaa
Mkuu nani kabebwa? Acha u**e*n*e,kakojoe ukalaleNdo matatizo ya kubebwa na marefa hayo..hahaaaa
Aisee hivi hawa jamaa wakizichapa nani ataibuka kidedea maana wAlishikana mashati kukunjana na fergie alishakunja ngumi kukosa wale wAtu wa security tungeshuhudia na mechi ya bure.Mancini alimwambia Ferguson mshamba wewe na tumewafunga leo ndo jamaa akadata!!
Amekurupuka ka amekalia kijiti,mwambie akajipange mkuu!kwanza badilisha kauli yako.kichwa cha hbr na maneno yako yapo tofauti.utawadanganya wale ambao hawajaangalia game?
Haya wengine hatujaangalia hiyo mechi tupeni full results.
Bado wanyamazishwe na Simba weeked hii ili mji uwe tulivu zaidi maana hii mitimu inayovaa mijezi miyekundu ni timu zenye washabiki wenye kelele na karaha.wapiga kelele wamemnyamazisha fergie mzee wa bahati na formula zisizokuwepo..
kompany 1 - 0 united