Aisee nasubiria kuona Pep anavyojikunja pindi mchezaji akikosa goli, uzuri ni kua wote wameingia timu ikiwa mbovu japo Man Utd kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa kutokana na beki yao kutokuimarika bado.

Hii siyo game ya kuisha na goli moja.... Ikitokea mmoja akafunga mwingine atasawazisha..!! Kwa hizi timu zilivyo mpaka sasa, Man U ni wazuri pale nyuma kulinganisha ma Man C... Wakati Man C ni wazuri pale mbele kulinganisha na Man U..!!
Naamini Man U tutashambuliwa sana kwa Machi ya kesho na tutakuwa na Counter Attacks nyingi na kama tutapata Goli basi ni kutokana na hilo. Am Man U fan, natamani ushindi, but to be honestly.. Mchezo wa kesho ni mgumu na Unpredictable..!!
Sitabiri mshindi, ila ikitokea mshindi basi ni kwa goli 2-1 au itaisha kwa sare ya 2-2. Itakuwa furaha kubwa tukishinda ila kusema ukweli nina presha kubwa kulinganisha na Matumaini..!!!