Huyu si kafungiwa kujihusisha na soka?UONGO [emoji23][emoji23]
Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.
Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..
Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..
Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.
Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?
𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..
Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)
Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Fact kwa wasiokuwa na akili wanaotembea na vinyesi kwenye vyupi vyaoKaongea fact mkuu
Time Will tell......ipo siku makolo mtaikumbuka hii kauli ya manaraFact kwa wasiokuwa na akili wanaotembea na vinyesi kwenye vyupi vyao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Haruhusiwi hata kutoa ushuzi wenye soka ndani yakeNdyo lkn hajafungiwa kusema ukweli
Hatuna muda mchafu wa kuwakumbuka machoko wanaotembea na vinyesi kwenye chupi zaoTime Will tell......ipo siku makolo mtaikumbuka hii kauli ya manara
kashawachoka guvu moyaAnataka ahamie kwa kina mandonga
Siku mtakapoona mmefilisika .....kumbe zile thamani za timu zilikuwa za mchongoHatuna muda mchafu wa kuwakumbuka machoko wanaotembea na vinyesi kwenye chupi zao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ameona anakula Kitu kizito daily