Kwahiyo huyo msomali nae ni Muislam kindaki ndaki? Unaelewa maana ya Muislam kindaki ndaki? Au unaongea tu vitu usivyovielewa. Unamuita muislam "kindaki ndaki" halafu wakati huo huo hapendi ndoa ya mitaala. Huoni kuwa unaongea visivyoeleweka. Halafu mitaala ipo katika karibu jamii zote za binadamu. Uislam ndio umekuja kulimit idadi. Kwanini mnaulaumu Uislam kwa kuwepo ndoa ya mitaala?
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio maana wanamuita mchicha mwiba, ukiona mwanaume hatulii na mke mmoja ujue kuna kitu kinamuwasha anatafuta wa kumkuna.
Atawapata wengi hukoWajinga wako wengi na Wataka umaarufu plus Ndoa atawaokota Tena tu
Ana bar au anauza kwa style gan?Nenda tabata anauza shishaa