Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,039 Reaction score 33,027 Jul 14, 2025 #1 "Kwa hiki kichapo cha jana cha PSG wakulaumiwa ni Mangungu tu. Kwa nini aliwauza Messi na Mbappe? Huyu Ngungus ni wa kunyongwa tu". Ameandika Msemaji wa zamani wa Vilabu vya Simba na Yanga Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram. #scopboii #ScopeMedia Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
"Kwa hiki kichapo cha jana cha PSG wakulaumiwa ni Mangungu tu. Kwa nini aliwauza Messi na Mbappe? Huyu Ngungus ni wa kunyongwa tu". Ameandika Msemaji wa zamani wa Vilabu vya Simba na Yanga Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram. #scopboii #ScopeMedia Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,350 Reaction score 26,166 Jul 15, 2025 #2 ππππ
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,922 Reaction score 47,694 Jul 15, 2025 #3 Hapo kawakebehi Simba kwa kumlaumu Mangungu kwa ishu ambazo sio zake code ndogo tu hiyo...