Manahodha wa mashua taarabu

krava

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
225
Reaction score
291
Naomba mwenye mashairi ya wimbo wa taarabu manahodha wa mashua kwanini wakae nyuma tupige vigelegele tukishafika salama ni kinyume cha sheria kimwendo na usalama manahonda wa mashua kwann wakae nyuma


Mwenye mashairi ya taarabu hii na historia yake atuwekee hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…