Manager na Secretary wanahitajika haraka

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
733
Tunatumai mu wazima. Tunahitaji secretary na Manager kwa ajili ya kampuni yetu moja iliyopo Temeke, Dar Es salaam. Elimu kuanzia kidato cha nne, creative, interactive na intelligent katika kumeneji watu.
Maelezo zaidi please.......
0659528724
0768932789
 

kampun gan tuelekeze vzr
 
Bahati nzuri nimesoma Company Act ya 2002 Kampuni lazima iwe na Jina siyo unatumia kampuni flani hivi mda mwingine ni Utapeli Pia lazima iwe na Physical address.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…