Timu ya babako? unachangia shilingi ngapi kusajili, kulipa mshahara wachezaji, kuwasafirisha kwenye mechi au kuwalisha? Acha waliowekeza fedha zao wazungumze wewe fuata ushauri wa askofu mpemba kafanye kazi za kukuingizia kipato sio kila saa simba yanga....simba yanga....simba yanga.....Tembelea jukwaa la ujasiriamali ujifunze hata kufuga kuku wakubwa asili ya ujerumani na mexico ... hizo habari za simba na yanga waachie waswahili wa kwenye kahawa wanaoishi mjini kwa nyumba za urithi na chuma ulete. Kijana mdogo muda wa kazi huu unaleta habari za kwenye kahawa?