Man united hamjambo?

Tupo jamani.nimekuja speed mpk nimejikwaa hapa nackilizia maumivu
 
Safi sana kumfuta kazi yule jamaa,sio wale jamaa malengo yao kila mwaka ni top 4,na misifa kibao kwa babu yao....
 
Safi sana kumfuta kazi yule jamaa,sio wale jamaa malengo yao kila mwaka ni top 4,na misifa kibao kwa babu yao....
wepi haooo!.... au ni wale jamaa cjui wanajiita washika bunduki wa jiji la london!
 
Mr. Bean tena?? Ama kweli jamaa wamefulia
 
Mr. Bean tena?? Ama kweli jamaa wameishiwa mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…