Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,858 Reaction score 4,562 Feb 19, 2023 #1 Nyama za uzi zitakuja baadae, Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni Red Devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi.
Nyama za uzi zitakuja baadae, Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni Red Devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi.
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,299 Reaction score 46,753 Feb 19, 2023 #2 Ngoja nimalize kazi hapa nikale biaaaaa baridi kama barafuuu(in late Kibonde's voice)
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,661 Reaction score 57,064 Feb 19, 2023 #3 Mimi hapa man u Na yanga Dam dam
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,858 Reaction score 4,562 Feb 19, 2023 Thread starter #4 Darmian said: Ngoja nimalize kazi hapa nikale biaaaaa baridi kama barafuuu(in late Kibonde's voice) Click to expand... Yani huu ni usiku wa kipekee kabisa
Darmian said: Ngoja nimalize kazi hapa nikale biaaaaa baridi kama barafuuu(in late Kibonde's voice) Click to expand... Yani huu ni usiku wa kipekee kabisa
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 12,163 Reaction score 33,647 Feb 19, 2023 #5 Fene said: Nyama za uzi zitakuja baadae Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni red devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi Click to expand... Atalanta na union berling wamechana mkeka lakini machungu yamepoozwa na yanga na man u... nimefurahi sana leo ningekua na hela ningejitoa out kidogo nikamwagilie moyo. Embu ajitokeze mdhamini aniwezeshe kidogo mpesa ndugu zanguni
Fene said: Nyama za uzi zitakuja baadae Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni red devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi Click to expand... Atalanta na union berling wamechana mkeka lakini machungu yamepoozwa na yanga na man u... nimefurahi sana leo ningekua na hela ningejitoa out kidogo nikamwagilie moyo. Embu ajitokeze mdhamini aniwezeshe kidogo mpesa ndugu zanguni
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,343 Feb 19, 2023 #6 Weitaaaaaa....!!!
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,858 Reaction score 4,562 Feb 19, 2023 Thread starter #7 ndege JOHN said: Mimi hapa man u Na yanga Dam dam Click to expand... Wapi sasa leo kuosha uchinjo
kikiboxer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 3,922 Reaction score 10,474 Feb 19, 2023 #8 Same here, tangu nimetoka home saa kumi na nusu niko bar nasuuza nafsi na team zangu leo ni mwendo wa tatu. Whaaat a day.
Same here, tangu nimetoka home saa kumi na nusu niko bar nasuuza nafsi na team zangu leo ni mwendo wa tatu. Whaaat a day.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,661 Reaction score 57,064 Feb 19, 2023 #9 Fene said: Wapi sasa leo kuosha uchinjo Click to expand... Dah Nina dozi nimeanza Leo ya gono..mchana power safe jioni hii doxyline so naogopa kukata Niko sober kwa Mara ya kwanza toka mwaka uanze ajabu sana
Fene said: Wapi sasa leo kuosha uchinjo Click to expand... Dah Nina dozi nimeanza Leo ya gono..mchana power safe jioni hii doxyline so naogopa kukata Niko sober kwa Mara ya kwanza toka mwaka uanze ajabu sana
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 2,578 Reaction score 5,378 Feb 19, 2023 #10 hiyo nyekundu ni kwa ajili ya man utd wengine mkafie mbellleeee