mheshimiwa chebi,hivi ukitamka "man u is champions"hauhisi meno yanataka kugongana kinywani?....man u are..........huo ndio usahihi
umeeleweka hata hivyo,man utd bado ni timu dhaifu,tatizo la midfielder limeendelea,thanks to michael carrick efforts,matatizo mapya yamejitokeA,uzalishaji wa mawinga wetu na mabeki wa pembeni umeshuka saaaaana