M mrmufindi JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 679 Reaction score 514 Jan 14, 2018 #22 Magori mengi kipindi cha pili. Pia goli zaidi ya 3 walioweka wapo sahihi. Japo watu walimpa liver wengiii sana maana liver pale kwake nomaaaa
Magori mengi kipindi cha pili. Pia goli zaidi ya 3 walioweka wapo sahihi. Japo watu walimpa liver wengiii sana maana liver pale kwake nomaaaa
Ednatha JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 489 Reaction score 666 Jan 14, 2018 #23 balibabambonahi said: Leo muhindi anacheekaaaa Click to expand... Sana, vipi wewe hujabet?
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,152 Jan 14, 2018 Thread starter #24 Ndohu said: Sana, vipi wewe hujabet? Click to expand... Sijabet mkuu
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 Jan 14, 2018 #25 Bikra imetoka lakini damu nyingi zimevuja, sijui kama yule binti (city) Atapona kwa kweli..........
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 7,744 Reaction score 14,413 Jan 14, 2018 #26 sadio mane amenikumbusha mbali sana kwa lile goli namna alivyofunga classic duuu
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Jan 15, 2018 #27 Duuu watu wamefurahia mno kupigwa man jiji😀😀,,, naona imewatesa sana,,,,subirini next game na hii threD itawaumbua tu
Duuu watu wamefurahia mno kupigwa man jiji😀😀,,, naona imewatesa sana,,,,subirini next game na hii threD itawaumbua tu
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Jan 15, 2018 #28 xavia jr said: Bikra imetoka lakini damu nyingi zimevuja, sijui kama yule binti (city) Atapona kwa kweli.......... Click to expand... Nguvu ya soda iyo,,,4 zenyewe wamebahatisha tu
xavia jr said: Bikra imetoka lakini damu nyingi zimevuja, sijui kama yule binti (city) Atapona kwa kweli.......... Click to expand... Nguvu ya soda iyo,,,4 zenyewe wamebahatisha tu
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 Jan 15, 2018 #29 BlackPanther said: Nguvu ya soda iyo,,,4 zenyewe wamebahatisha tu Click to expand... No comment..........
BlackPanther said: Nguvu ya soda iyo,,,4 zenyewe wamebahatisha tu Click to expand... No comment..........
Mr Point Member Joined Dec 14, 2016 Posts 28 Reaction score 15 Jan 15, 2018 #30 Lolote linawezekana mahali popote na sehem yoyote. That s the game.