hongera sana mwana wa mungu, kwani wewe ni mtimilifu, hujawahi kuzini au kufanya tendo kabla ya ndoa na pia umepata mke [kama umeoa] ambaye si malaya na ulimkuta bikira na mpaka sasa hajawahi kwenda nje ya mlango... HAKIKA WEWE NI MWANA WA MUNGU!!!
NASHANGAA TU, MWANA WA MUNGU ANAHANGAIKA NINI NA MITANDAO BADALA YA KUSHUKURU NA KUPONYA