Watatatua kero zipi na kwa bajeti ipi? Tuache kuwabebesha watu mizigo wakati tatizo ni mfumo, sera zetu na vipaumbele vyetu.
Jana kulikuwa na malalamiko ya wananchi wa Mkoa wa Tabora mbele ya Kinana. Ni lipi ambalo alilitatua kama si kupiga siasa na kutoa ahadi ambazo anajua fika kuwa hatazitekeleza? Nchi hii bhana.