Wadau
Bado tunahtaji mameneja wa Hotel na hii ni haraka sana,kama una uzoefu wa kufanya kazi za kiutawala (Managerial Positons) hatakama sio Hotel,tuma cv yako tutazingatia
tuma cv kwenda recruitment@lenjen.co.tz au info@lenjen.co.tz
Nyie matrapeli hamna ishu mnatumia email na cv kujnufaishaWadau
Bado tunahtaji mameneja wa Hotel na hii ni haraka sana,kama una uzoefu wa kufanya kazi za kiutawala (Managerial Positons) hatakama sio Hotel,tuma cv yako tutazingatia
tuma cv kwenda recruitment@lenjen.co.tz au info@lenjen.co.tz
Nyie matrapeli hamna ishu mnatumia email na cv kujnufaisha
Hembu wekeni website yenu hapa na number za sim tuone kama mmesajiliwa
Mkuu, bandiko lako linakosa details muhimu kuwasaidia potential candidates kufanya maamuzi ya awali. Kama unataka watu serious weka details vizuri kuhusiana na kazi husika (kazi gani hasa - uhasibu, HR etc? nafasi gani? mahali gani? sifa gani? nk). Weka tangazo la kazi lililokamilika au la weka link ili wahitaji wafuatilie.Wadau