Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,923 Reaction score 133,965 Mar 15, 2024 #62 Nimeota Utopolo kapigwa goli 12 hapa
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,159 Reaction score 123,234 Mar 15, 2024 #63 Ahyan said: Fainali ni Yanga vs Al ahly Click to expand... Fainali ipi?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,159 Reaction score 123,234 Mar 15, 2024 #64 Kichuguu said: Hawana mashabiki? Kila ninapoangalia mechi zao naona ziko tupu tu Click to expand... Kwa kuliona hilo tukaamua kujitokeza kutoa sapoti. Kama tulivyowapa sapoti kipindi cha kudai uhuru. Huo ndio utaratibu wa mtanzania
Kichuguu said: Hawana mashabiki? Kila ninapoangalia mechi zao naona ziko tupu tu Click to expand... Kwa kuliona hilo tukaamua kujitokeza kutoa sapoti. Kama tulivyowapa sapoti kipindi cha kudai uhuru. Huo ndio utaratibu wa mtanzania
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,576 Mar 15, 2024 #65 OKW BOBAN SUNZU said: Nimeota Utopolo kapigwa goli 12 hapa Click to expand... Mwachibuuu, hujakoma Tu?
OKW BOBAN SUNZU said: Nimeota Utopolo kapigwa goli 12 hapa Click to expand... Mwachibuuu, hujakoma Tu?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,923 Reaction score 133,965 Mar 15, 2024 #66 Dr Matola PhD said: Mwachibuuu, hujakoma Tu? Click to expand... Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu
Dr Matola PhD said: Mwachibuuu, hujakoma Tu? Click to expand... Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,576 Mar 15, 2024 #67 OKW BOBAN SUNZU said: Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu Click to expand... Wakati Yanga inafanya maandalizi Simba mko bize na Yanga, subirini mtavuna mnachopanda. Azam wanaitaka nafasi ya Pili, sasa nyinyi wekezeni kwenye ujinga msimu ujao hamchezi club bingwa. Bingwa Yanga nafasi ya Pili wanachukuwa Azam.
OKW BOBAN SUNZU said: Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu Click to expand... Wakati Yanga inafanya maandalizi Simba mko bize na Yanga, subirini mtavuna mnachopanda. Azam wanaitaka nafasi ya Pili, sasa nyinyi wekezeni kwenye ujinga msimu ujao hamchezi club bingwa. Bingwa Yanga nafasi ya Pili wanachukuwa Azam.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Mar 15, 2024 #68 OKW BOBAN SUNZU said: Mamelod Masandawana mmeamkaje humu? Click to expand... Salama kabisa 👆👆👆👆👆
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Mar 15, 2024 #69 OKW BOBAN SUNZU said: Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu Click to expand... Kuna clip nimeona tunafanya mazoez tukiwa tumefunga vitambaa machoni🤣🤣
OKW BOBAN SUNZU said: Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu Click to expand... Kuna clip nimeona tunafanya mazoez tukiwa tumefunga vitambaa machoni🤣🤣
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Mar 15, 2024 #70 Dr Matola PhD said: Wakati Yanga inafanya maandalizi Simba mko bize na Yanga, subirini mtavuna mnachopanda. Azam wanaitaka nafasi ya Pili, sasa nyinyi wekezeni kwenye ujinga msimu ujao hamchezi club bingwa. Bingwa Yanga nafasi ya Pili wanachukuwa Azam. Click to expand... Tulio busy na Uto ni mashabiki Mkuu😃
Dr Matola PhD said: Wakati Yanga inafanya maandalizi Simba mko bize na Yanga, subirini mtavuna mnachopanda. Azam wanaitaka nafasi ya Pili, sasa nyinyi wekezeni kwenye ujinga msimu ujao hamchezi club bingwa. Bingwa Yanga nafasi ya Pili wanachukuwa Azam. Click to expand... Tulio busy na Uto ni mashabiki Mkuu😃
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,576 Mar 15, 2024 #71 Selikavu said: Tulio busy na Uto ni mashabiki Mkuu😃 Click to expand... Mafanikio ya timu yanachangiwa na mashabiki pia, ndio kitu kinawagharimu Azam Wana pesa lakini hawana watu. Sasa nyinyi endeleeni kuwekeza kwenye ujinga wakati Waarabu wanawanywea Alkasusu mujarabu, ndio mtajuwa hamjuwi.
Selikavu said: Tulio busy na Uto ni mashabiki Mkuu😃 Click to expand... Mafanikio ya timu yanachangiwa na mashabiki pia, ndio kitu kinawagharimu Azam Wana pesa lakini hawana watu. Sasa nyinyi endeleeni kuwekeza kwenye ujinga wakati Waarabu wanawanywea Alkasusu mujarabu, ndio mtajuwa hamjuwi.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,413 Reaction score 27,291 Mar 15, 2024 #72 Dr Matola PhD said: Mafanikio ya timu yanachangiwa na mashabiki pia, ndio kitu kinawagharimu Azam Wana pesa lakini hawana watu. Sasa nyinyi endeleeni kuwekeza kwenye ujinga wakati Waarabu wanawanywea Alkasusu mujarabu, ndio mtajuwa hamjuwi. Click to expand... Mamelod ni Azam ya South maana kule wenye nchi ni Kaizer chiefs na Orlando... Azam ina mfumo mbovu tu wa uongozi wakitulia ni mamelod ya Tanzania kabisa maana kila kitu wanacho
Dr Matola PhD said: Mafanikio ya timu yanachangiwa na mashabiki pia, ndio kitu kinawagharimu Azam Wana pesa lakini hawana watu. Sasa nyinyi endeleeni kuwekeza kwenye ujinga wakati Waarabu wanawanywea Alkasusu mujarabu, ndio mtajuwa hamjuwi. Click to expand... Mamelod ni Azam ya South maana kule wenye nchi ni Kaizer chiefs na Orlando... Azam ina mfumo mbovu tu wa uongozi wakitulia ni mamelod ya Tanzania kabisa maana kila kitu wanacho
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,294 Mar 15, 2024 #73 Ahyan said: Fainali ni Yanga vs Al ahly Click to expand... Hatimae chama letu limepata uzi rasmi🔥🔥🔥
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,692 Reaction score 6,291 Mar 15, 2024 #74 Greatest Of All Time said: Hatimae chama letu limepata uzi rasmi🔥🔥🔥 Click to expand... Mtaukimbia.. ni suala la muda tu
Greatest Of All Time said: Hatimae chama letu limepata uzi rasmi🔥🔥🔥 Click to expand... Mtaukimbia.. ni suala la muda tu
Kitambi chakufutia tachi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 1,081 Reaction score 2,604 Mar 16, 2024 Thread starter #75 Habari zenu the Brazilians wenzangu.
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,891 Reaction score 5,250 Mar 16, 2024 #76 Kitambi chakufutia tachi said: Habari zenu the Brazilians wenzangu. Click to expand... Kunjani
United ya Ferguson JF-Expert Member Joined Oct 29, 2021 Posts 3,234 Reaction score 6,596 Mar 16, 2024 #77 Mechi yetu ya ligi tunacheza lini
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,211 Reaction score 79,685 Mar 16, 2024 #78 Kitambi chakufutia tachi said: Habari zenu the Brazilians wenzangu. Click to expand... Kunjaniiiiii 😂
Kitambi chakufutia tachi said: Habari zenu the Brazilians wenzangu. Click to expand... Kunjaniiiiii 😂
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,540 Reaction score 88,485 Mar 16, 2024 #79 Selikavu said: Tupate wadhamini View attachment 2933175 Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,540 Reaction score 88,485 Mar 16, 2024 #80 Bengal said: Kwa wananchi The Sun is the limit of success Click to expand... Dooh the sky is above all mkuu
Bengal said: Kwa wananchi The Sun is the limit of success Click to expand... Dooh the sky is above all mkuu