Katiba mpya;
rushwa na ufisafi mfano escrow;
biashara ya madawa ya kulevya na pembe za ndovu;
mpasuko mkubwa Wa kisiasa utakao tokea ndani ya ccm;
mwunganiko Wa vyama vya upinzani (UKAWA); Uhaba Wa Ajira kwa wahitimu mbalimbali; Maisha magumu kwa wafanyakazi na wakulima;
Mfumuko Wa bei za vitu nk tafadhali ongeza
Uonevu Dhidi Ya Raia Wasio Na Hatia Kama Kuwabambika Kesi,wananchi Kuishi Ktk Umaskini Wa Kupindukia,rais Kuwafanya Watanzania Wajinga Kwa Kumuweka Muhongo Kiporo,kumtesa Ulimboka Huku Jk Akishiriki,kulifungia Milele Gazeti La Mwa.Na.Halisi