Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,208
- 888
NAKAZIA1. Tafuta hela.
2. Kua busy kutafuta hela.
Kuwa na hela halafu huna matumizi kwenye mahusiano, ni kazi bureNAKAZIA
Dongo langu hili eeh π πKuwa na hela halafu huna matumizi kwenye mahusiano, ni kazi bure
Bora uwe nazo zisiwe na matumizi au Bora ukose kabisa hizo hela hata zikihitajika kwa matumizi huna?Kuwa na hela halafu huna matumizi kwenye mahusiano, ni kazi bure
Daah tatizo Gono mzee, kukojoa viwembe yataka moyo ujue unapiga steak kwa steak unafiria dalili za awali baada ya siku 4 mbele si mchezototo kama hili unaliachaje..
View attachment 2630495
Acha uwoga kula vyuma hivyodaah tatizo Gono mzee, kukojoa viwembe yataka moyo ujue
unapiga steak kwa steak unafiria dalili za awali baada ya siku 4 mbele si mchezo
Mmmh walete rapid test kits za Gono, Kaswende, UTI na HerpesAcha uwoga kula vyuma hivyo
Unakosa vitu vinono, haikuwekwa hapo kama pambommmh walete rapid test kits za Gono, Kaswende, UTI na Herpes
Ntakula vyuma kulipizia miaka yooote mitatu
6.usisahau kuvuta bangi yako1. Tafuta hela.
2. Kua busy kutafuta hela.
3. Tumia hela kujifurahisha wewe.
4. Kua na marafiki
5. Kua karibu na ndugu
Unakua Kama wale wenye pesa zenye masharti, unamiliki 5star hotel unalalia ngozi ya fisiKuwa na hela halafu huna matumizi kwenye mahusiano, ni kazi bure
Castration ndo nn mkuuNjia rahisi ni kufanya castration