Mambo yaliyonikosha awamu ya JPM,ongeza na wewe ulilolifurahia kwake

Trust me mleta mada jiwe angekuwepo huenda ungekuwa una mkono mmoja au jicho moja
 
Kipindi cha JPM nilijifunza maskini wanachuki sana na matajiri.

Maskini walishangilia sana kuona watu wanafukuzwa kazi na kuporwa Mali zao.

Shida ya maskini wanategemea serikali kufanikiwa wakati matajiri hawaitaji hivyo.



"MASKINI WANA CHUKI NA UTAJIRI"
 
ingependeza ukatowa ushaid jins alivyouwa mkuu
Aliuwa
Aliteka
Alibambikia kesi
Alipora watu Mali pasi haki
Alipenda kuabudiwa
Alikuwa makabila
Alivunja katiba
Alishusha heshima ya nchi
Alikuwa hashauriki
Alikuwa na ubaguzi
 
Alijiona yeye mungu wa chato mpaka kufikia kujiona yeye ni bora kuriko hata mchonga manina acha viroboto wafaidi
 
Alikataa kata kata kupandisha wafanyakazi msdaraja na salary kwa miaka 6 mfululizo
 
1. Alizuia bunge lisionekane live ili serikali yake ikikosolewa isionekane
2. Alipandisha bei ya sukari na mafuta ya kula
3. Aliufungia mtandao wa kijamii wa twitter
4. Alizuia mikutano ya kisiasa kwa haiba yake mwenyewe kinyume na katiba. Kama aliona inafaa kuzuia, angeanza kubadili vifungu kwenye katiba
5. Alikula hela za wahanga wa tetemeko la ardhi bila huruma
6. Alibaka uchaguzi mkuu 2020 bila aibu
 
Mambo yaliyonikosha katika utawala wake;
Ubaguzi wa kikabila/kanda
Ubaguzi wa kisiasa
Wizi na ufisadi mkubwa
Uminywaji wa democracy
Utekaji
Uuaji
Arbitrary arrests
Imprisonments without trial
Alikuwa mshirikina
Aliyekosa maadili
Mropokaji
Anayedhalilisha wanawake
Mpenda sifa
Mjinga
Mpumbavu
Muwaza ngono
 
Nahisi hujaelewa mada hapa tunata p+ na c Negative
 
Aliuwa
Aliteka
Alibambikia kesi
Alipora watu Mali pasi haki
Alipenda kuabudiwa
Alikuwa makabila
Alivunja katiba
Alishusha heshima ya nchi
Alikuwa hashauriki
Alikuwa na ubaguzi
Miaka 30 iliyopita tuliporwa wa Tanzania na wageni na viongoz wa kuu wa nchi, kwaiyo magu kupora matajiri alikuwa sahii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1; Alirejesha uelewa na uasili wa mwafrica

mashana ulivyocheka mpk na mm umeniambukiza hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…