Mambo ya tegeta Escrow

:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Werema na Muhongo ni kama vile wametoka kuchunga ng'ombe
 
watoto wa baba mmoja...

Mi naona kuna wengeni ni wa kufikia humo ispokuwa hawakujitambua na kujijua humo na yote hayo ni kula kuku kwa mrija ndo wakajisahau ya nyuma yao kuna wanyonge na wao wanatamani hata hiyo mifupa ya kuku ili warambe rambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…