Nape wewe ni nani nchi hii mpaka uende kwenye media na kutangaza kutaka kufukuza watu kama watu hawa unadai ni wala rushwa wafikishe mahakamani ?? Na pia serikali haiendeshwi kwa mujibu wa kanuni za chama, serikali na viongozi wake inaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi kama unao ushahidi wafikishe mahakamni wachukuliwe hatua. Acha kuwapotezea watu muda wao kwa kauli na porojo zako za kisanii za kila siku.