Mambo ya mathematics (necta)

Hahaha!!! huyo mwanafunzi wa Pure/BAM kweli hamnazo...
 
Unategemea nini iwapo kila anayepewa wizara anakuja na lake, yamkini ndicho alichofundishwa kwani mitaala ati haipo bora liende. Hata hivyo amepanua akama alivyoulizwa!
 
Unategemea nini iwapo kila anayepewa wizara anakuja na lake, yamkini ndicho alichofundishwa kwani mitaala ati haipo bora liende. Hata hivyo amepanua akama alivyoulizwa!

Hasa nikimkumbuka Mulugo, Isaac Newton wa Wizara ya Elimu!
 
Si ameambiwa kuexpand, akapanua kutoka juu kwenda chini ikawa kama piramidi vile. Ningekuwa nasahihisha ningempa vema.

Hivyo ndivyo alivyofundishwa? na kaambiwa afanyaye expansion ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…