Mambo ya BENNY HAYO.

Ben alikuwa jembe sana, ingekuwa naweza moja ya maoni yangu kwenye katiba nngeomba rasi akimaliza muda wake na kama raia bado wanampenda basi agombee tena lol!
Kwa Taarifa yako utaambiwa hata JK wananchi bado wanampenda, na aendelee kuwa Rais wetu
 
Mbele kulia alikua 'Dealer' oops! Diria au?
 
Kweli aisee enzi hizo Benny qlikua na nywele zote elfu tatu, ila wakati wa Urahisi zikawa buku jero no wonder alikuja fanya madudu

Wasiomjua wanasema aliacha fedha nyingi hazina hawajui fedha hizo zilitokana na kuuza rasilimali za taifa kwa bei ya kutupa kama vile viwanda alivyojenga baba wa taifa JK Nyerere, migodi hata kujiuzia kwa bei ya kutupa. Shame on him Benny. Mungu akupe maissha marefu uje utueleze kwanini madhambi haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…