Aloo Mr bongo bond 255 kama hutojali tuwekee CV yako hapa au ipandishe pic ya cheti chako cha form four ili tupate kujua ktk mijadala tutakuwa tunajadiliana na mtu wa aina gani kiakili maana hii nchi tumishaingiliwa...wenye elimu halali wanadhalilishwa wenye elimu za kununua wanapeta,usahili utaanzia humu!!!isije kuwa ni wa style za Kibashite Bashite.kidding dude,you're welcome.