Mambo mengine utata mtupu.

Nadhani teacher alihisi kuwa huenda mkewe bado alikuwa na mapenzi ya dhati kwa marehemu.
 
Nafikiri ticha aligundua kuwa marehemu alikua bado anapiga moja moja na akifikira kwamba visafari vya hapa na pale vilikua vya kutosha inakua ni ngumu kumeza.
Kama ulikuwepo vile,huyu mama dharura za kwenda kyela zilikuwa haziishi,na anakaa mpaka wiki nzima!
 
Kuhusu watoto wale wawili jamaa anawajua vizuri na alikuwa anaishi nao hapa hapa Tunduma.
 
Kazaa naye watoto wengine wawili!

Hao wawili wa kwanza alikuwa anafahamu SI wa kwake?
Isije ikawa alidhani wote wanne ni wake then paa unaambiwa wawili ni wa jamaa aliyefariki!!!
 
hata mimi ningekasirika sababu kitendo cha kustuka hivyo kinaonesha kwamba anampenda sana ex kuliko mumewe halisi,halafu kwanini ukaniambie aliyekufa baada ya kufika msibani.mapenzi wakati mwingine klorokwini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…