kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,460
- 5,045
Mkuu kubali tu kuwa yanga Wana kikosi bora mno sio kwamba mpira wa jana tu ndo unadhihirisha uwezo wao,tangu msimu umeanza wako vyema[emoji122][emoji122]Uko sahihi ila mpira wa Jana inaonekana yanga waliuhifadhi mahali Kisha wakauleta Jana
Jana ndio nimeangalia mechi Yao.Mkuu kubali tu kuwa yanga Wana kikosi bora mno sio kwamba mpira wa jana tu ndo unadhihirisha uwezo wao,tangu msimu umeanza wako vyema[emoji122][emoji122]
acha kutumia r kwenye l sio kusajiri ni kusajiliHuwa sifurahii kuona mafanikio ya Yanga kitu kilichofanya nisiwe naangalia michezo Yao.
Kama bahati mbaya Jana nilikaa peke yangu mbele ya luninga kuangalia mechi ingawa niliumia ila hiki ndio nilichokiona Kwa yanga.
1. Uongozi mzuri unaowapa hamasa wachezaji na benchi la ufundi ndio umeifikisha hapa yanga.
2. Wachezaji wa yanga wanajituma, wakipoteza mpira haraka wanapambana kuutafuta na kuurejesha kwenye himaya Yao.
3. Yanga wamefanya usajiri wa maana sana, sifikirii na sidhani kama Kuna kiongozi aliyechukua 10% Ili amlete mchezaji
4. Pacome zouzou ni mtu, Simba SC walifika mapema Ivory coast na wakashindwa kumsajiri ( poor leadership).
5. Morali ya timu Iko juu sana, timu inapambama kupata inachokitafuta na ndani ya muda mfupi inakipata, tofauti kabisa na Simba ambayo inacheza bila kujua inatafuta nini ( rejea mechi ya juzi na Asec)
6. Wachezaji wanacheza kitimu na yeyote akionekana hayuko mchezoni anapumzishwa nje ( tofauti na timu yangu ambayo mkalimani saidoo hachezi kitimu na anamaliza dakika zote 90 ).
Mnyonge mnyongeni Yanga SC Iko moto sana.
Huyu awe anachambua mpira baada ya mechi tu.Sitacomment chochote mpaka uje hata kusalimia hapa..View attachment 2915550
Kumbe ana risiti yake humu kabla ya mechiSitacomment chochote mpaka uje hata kusalimia hapa..View attachment 2915550
Hizo story namba nne mnapangwa na viongozi wenu eti kila mchezaji mzuri wa Yanga,Simba alifika mapema mara Zengeli mlifika mapema,mara Aucho, mara sijui Pacome nk.Kubalini hamna jicho la kuwaona wachezaji.Yanga ya Hersi ikimtaka mtu inaweka mzigo haijiulizi na Sajili za Pacome, Yao Yao,Max na Ki zilikuwa kimya kimya, ila Ki Azam peke yake ndio walikuwa wanatuvurugia.Huwa sifurahii kuona mafanikio ya Yanga kitu kilichofanya nisiwe naangalia michezo Yao.