Mambo 5 yatakayokufanya ufe maskini

Hapo umeandika wanaotumia social media kwa muda Zaid ya masaa mawili, Swali, Je ambao ndo tunatumia social media kudrive biashara zetu unamaanisha kuwa matajiri ni haiwezekani?
 
Ukinywa maji mengi ni Shida!
Ukila nyama nyingi ni shida!!
Ukinywa Sana kileo ni shida!!!
Ukipumzika muda mrefu ni shida!!!!

Kwa hiyo tufanyeje sasa!!!?
Kila kitu kwa kiasi!
 
Hapo umeandika wanaotumia social media kwa muda Zaid ya masaa mawili, Swali, Je ambao ndo tunatumia social media kudrive biashara zetu unamaanisha kuwa matajiri ni haiwezekani?
Nimeandika wale wanaotumia social media kwa Mambo yasiyo na umuhimu muwe mnasoma mada na kuelewa.....!!!
 
Ni principle tu za maisha lakin MAFANIKIO ni kitu kingine kabsa ambacho hakuna specific way kuna watu wanafanya Kazi massa 3 lakn wametoboa kuna watu wanafanya Kazi masaa zaid ya 15 lakn wapi life still tough So TUPAMBANE NA KUENDELEA KUMUOMBA MUNGU.
 
Mkuu umesema mambo matano sasa mbona umeongeza la sita? Sio fresh kutuongezea makatazo. Punguza basi moja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] wabongo bwana
 
Si kweli, mafanikiyo hayapimwi kwa muda, ni mipango tu, mikakati, bahati, wisedom, utapeli na kadhalika
 
Tangu mwaka uanze Leo ndo umeongea pumba hatar!!

Tusipangiane maisha asee
 
Wakati unawaza kufanya kazi masaa 10 kuna mtu ana investments zake yeye anaamka saa 4 kiboss!

Anakula vizuri na kucheza na watoto tu anatoka saa 12 jioni kupitia hesabu zake na kurudi kulala 😅.

Kufa maskini ni ngumu labda kama Umaskini unaosemea uwe kama una hela chini ya warren buffet ama Elon Musk! Ila kama kwa maisha yetu haya ya kumiliki vibanda vitatu vya kupangisha na Kluger moja na IST basi umaskini utabaki nao wewe!

Kuna investments zinaingiza mpaka 60M kila mwezi na wanazo wenzetu hawa hawa tunaoishi nao mjini hapa!
 
Instagram, FB na Twitter ndo tunatengeneza pesa. Labda useme kuperuzi bila faida.
 
Mkuu kwani hujasikia hii habari inayo sambaa mtandaoni kwa sasa kuwa gas imepanda bei?
 
Mkuu umesema mambo matano sasa mbona umeongeza la sita? Sio fresh kutuongezea makatazo. Punguza basi moja.
Hiyo ndio shida ya "copy & paste". Hata baadhi ya vitu alivyoandika ukiviweka kwenye uhalisia inakuwa tofauti/kinyume na ilivyoandikwa. Tusisahau kale kamsemo ka JK. Za kuambiwa.... changanya na zako.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…