Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Kifungua kinywa cha aina gani manake kama mimi huwa sipendi chai wala sijui mara ya nimekunywa lini? Nimezoea kunywa juice au matunda then nasubiri lunch
Kifungua kinywa cha aina gani manake kama mimi huwa sipendi chai wala sijui mara ya nimekunywa lini? Nimezoea kunywa juice au matunda then nasubiri lunch
Safi sana, kifungua kinywa kikiwa ni matunda freshi zaidi, kama unakunywa na juisi ambayo umetengeneza mwenyewe nyumbani freshi zaidi.
mkuu matunda na juice ya matunda si kitu kimoja?
na wale wanaofungulia viroba asuhuhi na mapema je?
Duh kumbe nimepona
nikajua pombe itakuwepo
Dah sijawai kuchangia hata mara moja kwenye hili jamvi lkn kiukweli post yako imeniacha hoi sana.
mbona wengine nasikiaga wanashauri protein zaidi kwa asubuhi??Safi sana, kifungua kinywa kikiwa ni matunda freshi zaidi, kama unakunywa na juisi ambayo umetengeneza mwenyewe nyumbani freshi zaidi.
Hapana mkuu, kwenye juisi tunaongeza maji au maziwa, sukari na chumvi kidogo wakati matunda tunayala yenyewe kama yenyewe, kwahiyo tofauti ipo. Ukipata vyote viwili i.e juisi + matunda sawa, ukipata kimojawapo pia sawa.

ushauri: usipende kuweka sukari kwenye matunda..kwanini usiache sukari ya matunda yenyewe mfano nanasi lina sukari..tikiti..papai..embe..n.kHapana mkuu, kwenye juisi tunaongeza maji au maziwa, sukari na chumvi kidogo wakati matunda tunayala yenyewe kama yenyewe, kwahiyo tofauti ipo. Ukipata vyote viwili i.e juisi + matunda sawa, ukipata kimojawapo pia sawa.
mbona wengine nasikiaga wanashauri protein zaidi kwa asubuhi??
ushauri: usipende kuweka sukari kwenye matunda..kwanini usiache sukari ya matunda yenyewe mfano nanasi lina sukari..tikiti..papai..embe..n.k