Inabidi familia yote ya Baba na Mama wa Taifa iwekwe kwenye Katiba mpya ili kulinda maslahi na mafao ya kustaafu na hata baada ya kupokelewa kwa Master God.
Nchi yetu imebarikiwa rasilimali nyingi sana kiasi ambacho walalahoi wameshindwa kuzitumia ndio maana wenye meno ambao ndio wala nchi wanazitumia watakavyo.