Emmy Bonny Member Joined Sep 24, 2016 Posts 16 Reaction score 4 Dec 15, 2016 #1 Ivi kweli Tanzania tutapata kiongozi ambaye si mubaguzi na akawasaidia watu kweli, mimi nadhani hayupo maana nayoyaona katika fikra zangu siyaamini.
Ivi kweli Tanzania tutapata kiongozi ambaye si mubaguzi na akawasaidia watu kweli, mimi nadhani hayupo maana nayoyaona katika fikra zangu siyaamini.
Fundisi Muhapa JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 4,422 Reaction score 2,115 Dec 15, 2016 #2 Pole emmy. Lakini kua na faraja maana hakuna utawala dhalimu uliodumu. Na wanapoondokaga upumbavu wao wote unapotea pia. Kenya walidhulumiwa na Moi miongo kadhaa. Leo wanafurahia demokrasia japo wana element za ukabila. Tusiache kukosoa hawa watawala Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Pole emmy. Lakini kua na faraja maana hakuna utawala dhalimu uliodumu. Na wanapoondokaga upumbavu wao wote unapotea pia. Kenya walidhulumiwa na Moi miongo kadhaa. Leo wanafurahia demokrasia japo wana element za ukabila. Tusiache kukosoa hawa watawala Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
krava JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 225 Reaction score 291 Dec 15, 2016 #3 Demokrasia ndio kila kitu
Emmy Bonny Member Joined Sep 24, 2016 Posts 16 Reaction score 4 Dec 16, 2016 Thread starter #4 hata nyumbani demokrasia inapokosa watu hawaelewani ingawa ni ndugu, ingekuwa vyema kiongozi anakuwa mgombea binafsi na siyo vyama. naona vyama vinatutesa mpaka watu kufa kwajili ya vyama duu! demokrasia uko wapi?
hata nyumbani demokrasia inapokosa watu hawaelewani ingawa ni ndugu, ingekuwa vyema kiongozi anakuwa mgombea binafsi na siyo vyama. naona vyama vinatutesa mpaka watu kufa kwajili ya vyama duu! demokrasia uko wapi?