Mama Samia, Mkombozi wa Taifa letu

Bachelor OG

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
1,195
Reaction score
1,470
Mama Samia, Mkombozi wa Taifa Letu [emoji1241]

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kiongozi mwenye maono, hekima na moyo wa huruma kama Mama Samia Suluhu Hassan.

Ameinua maisha ya Watanzania kupitia miradi ya kimkakati, elimu bora, huduma za afya, miundombinu na uchumi wa kidigitali.

Mama Samia sio tu kiongozi, bali ni mkombozi wa kweli kwa taifa letu. Tumeshuhudia amani, mshikamano na maendeleo yanayoonekana kwa macho. Kwa ujasiri na uongozi wake wa kipekee, Tanzania inasonga mbele kwa kasi ya matumaini.

Hakika, Mama Samia anatosha sana na tunakwenda nae bila kuyumbishwa.
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
 
Ukiacha uchawa (ofkoz njaa haina baunsa) Tz haijawahi kupata kiongozi mwenye uwezo duni kama Sa100!.
 
 
Kuna shule kule kirasini imeuzwa kwa mwekezaji toka tumepata uhuru sijawahisikia wala kuona shule ya serikali inauzwa
 
Hata akija mjusi anayetokana na CCM bado mtamsifia tu.
 
Anatukomboa na nini sasa jamani mambo mengine hata muwe na mshipa wa aibu. Anatuuza anatutesa ana tupa tu hasira. Na deni lileeeeee 107T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…