Mama Salma Kikwete anaweza?

Ataweza si alikuwa mwalimu wa shule ya Primary au tena darasa la .... mwanzo csi unajua mambo ya nyimbo na michezo tena
 
mama Kikwete anaweza kuwafundisha kusoma na kuandika watoto ,kitu ambacho amekua akikifanya miaka nenda rudi, na ninaamini mke wa OBAMA haiwezi hiyo shughuli, sikila afanyacho Mrs Obama wake za marais wengine waweze, kuna utofauti wa malezi,ukuaji , elimu na mila na desturi kwa ujumla.
 

teh teh kiongozi naona umeandika kwa hasira sana
 
mie nilikuwa mwalimu wa hii michezo aisee..nataka nijikumbushie!!!
 
na anavopenda kuvaa mavitenge si yatamuangusha na atajikwaaa


Kila vazi na sehemu yake. Nimeishaona picha za Mke wa Kikwete akiwa ame vaa track suit, nadhani watu wengi waliona siku kombe la soka la dunia lilipokuja Dar. Hivyo, akitaka kuruka ruka atavaa nguo husika. Hii tabia ya kufananisha ( compare) wanawake inakera, na inawapunguzia wanawake self esteem, na kufanya wasijiamini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…