Mama.mlezi mwenye mapenzi ya.dhati

munimuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
110
Reaction score
69
Message…habari wakuu nimerudi.tena.kwa.upande
wa.mahusiano.nimeitimisha.naona.hayapo.kwa.ajili yangu.lakini.kuwa.mama.ni.baraka.hivyo.natafuta mbaba.mkaka.anaeishi
na
watt wake.bila.mama.yao.ambaye.yupo.tayari kusaidiana.ulezi.si.kma.mke.au.binti.wa.Kazi.n
kama.mama.mwnye uchungu na.mapenzi.pia.bila.malipo.kwa.aliye.na.vigezo ani.pm.no.mahusiano
 
Hapo vigezo vikwapi...!!??
 
Mkuu naamini utapata mm nilikuwa natafuta mtu kama ww sema nishawapeleka kwa bibi yao
 
Unatafutwa mchepuko wa kudumu
 
Dah maisha yanaenda kasi sana.
Kila la kheri.
 
Ngoja nishangae
 
Aisee!
Mbona umejikatia tamaa hv mdada?
Stop strassing urself over a man. Fanya mambo mengine. Jipende na kujijali mwenyewe, furahia maisha uliyonayo. Fanya ibada na kumuomba Mungu wako kwa imani yako.
 
"Sio mke au bint wakazi ila mama mwenye uchungu".......mh nikirudi umesepa na watoto wangu kwasababu sina legal status kwako inakua je hapo?
 
Mama mwenye uchungu, toa CV yako watu wakuelewa una umri gani? umewahi kuzaa, tunahitaji taarifa za kutosha unaweza pata kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…