Ustaadh JF-Expert Member Joined Oct 25, 2009 Posts 413 Reaction score 20 Oct 10, 2010 #1 Mama Graca machel alinukuliwa kusema Tunachanganya, tunapofikiri kuwa kila aliye na madaraka ni kiongozi, hii si sahihi, uongozi unakuja na utu, utaifa na kujali maslahi ya unaowaongoza TANZANIA TULIO NAO NI WATAWALA - SI VIONGOZI.
Mama Graca machel alinukuliwa kusema Tunachanganya, tunapofikiri kuwa kila aliye na madaraka ni kiongozi, hii si sahihi, uongozi unakuja na utu, utaifa na kujali maslahi ya unaowaongoza TANZANIA TULIO NAO NI WATAWALA - SI VIONGOZI.