Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,921 Reaction score 27,447 Apr 23, 2025 #21 hongereni... mitano tena
Zafrain sag JF-Expert Member Joined Sep 14, 2019 Posts 260 Reaction score 401 Apr 23, 2025 #22 Kitombise said: vp mambo ya ndani nao wamepata? Click to expand... Tayari wamepata
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,510 Apr 23, 2025 #23 Mkumbuke kutulipa madeni huku wakina mangi dukani, SIO kujibrand tu mitandaoni.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,082 Reaction score 27,166 Apr 23, 2025 #24 mbwangali said: Mji upi huo mkuu ambao mshahara ukitoka tu msururu kwenye ATM hasa za NMB huwa haupo?? Bila hata kuambiwa mshahara ukitoka utajua tu maana wanajazana kwenye ATM balaa Click to expand... kwa hiyo wanakukera?
mbwangali said: Mji upi huo mkuu ambao mshahara ukitoka tu msururu kwenye ATM hasa za NMB huwa haupo?? Bila hata kuambiwa mshahara ukitoka utajua tu maana wanajazana kwenye ATM balaa Click to expand... kwa hiyo wanakukera?
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 3,112 Reaction score 5,404 Apr 23, 2025 #25 Lupweko said: kwa hiyo wanakukera? Click to expand... Hapana mkuu, hela NI za kwao kwanini nikereke Mimi??
Lupweko said: kwa hiyo wanakukera? Click to expand... Hapana mkuu, hela NI za kwao kwanini nikereke Mimi??
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,510 Apr 23, 2025 #26 Lupweko said: Labda unaishi porini. Huku mjini digital money hadi kulipia huduma ya choo cha umma Click to expand... Acha uongo
Lupweko said: Labda unaishi porini. Huku mjini digital money hadi kulipia huduma ya choo cha umma Click to expand... Acha uongo
Thebroker JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 4,008 Reaction score 6,857 Apr 23, 2025 #27 Utadhani wanafanyia favor mbwangali said: Mmeanza kutukosesha raha si mpokee kimyakimya mpaka mtutangazie jamani? Click to expand...
Utadhani wanafanyia favor mbwangali said: Mmeanza kutukosesha raha si mpokee kimyakimya mpaka mtutangazie jamani? Click to expand...