Hana Aibu huyu Binti. Juzi Kati alikuwa anahojiwa hapo Wasafi TV kaanza kusema pooh nilishapata mimba 3 (tatu) diamond zote zikaharibika. Ya NNE ndio akazaliwa huyu Dylan ambae tulimfanyia DNA kuzibitisha Baba yake ni Dai. 100% ikawa proved. Sijui mimba moja iliharibika tuliposafiri kwenda Nchi gani sikumbuki. Why all these details!!??Ila huyu chuchunge ni Sikio la kufa, kutwa kujidhalilisha kisa Diamond , huyu si aliambiwaga mchawi na familia Nzima? Kutwa kuwafuata fuata kitu gan wakat hawakutaki, hata domo mwenyew angekua anakutaka angekutambulisha as formal girlfriend sio mchepuko, li hamisa linakera Sijui aliyemrogaga nani, anaona maisha bila domo hayaendi.
Yani bila aibu linajiaibisha eti aliomba namba ya mama domo amtakie happy birthday, akamtumia message hakujibu, yan anataka tujue ye Ndo yuko karibu sana na Diamond .
Hakuna Mwanamke mwenye kihere here na mwanaume akaja kuolewa, mbona lulu kachumbiwa na anakaa na mchumba wake hanaga huu ushamba kama wako halafu wewe ni Mama sasa unatakiwa ukue, unavyomshobokea domo unadhan kuna mwanaume atakuja kukuoa, akili zako sio nzuri .
Toka nimemfahamu Lulu sijawahi kuona anajipendekeza kwa wanaume, and she has dated the most powerful n rich men kuliko hata huyo unayemgombania na hakutaki, msichana mzuri ila unajishusha thamani mxieew domo kama kwapa la bundi
View attachment 1601908
Mkuu kwani dangote ni brand name au ni jina kama ilivyo shabanHivi dangote halisi anataarifa yeyote kua jina lake linatumika huku na kijana ambaye anawapigia promo ccm?
Huyo warumi Ni fan wa Zari so lazima amchukie Hamisa as if yeye ndio kaibiwa bwana ( in wanawake voice). Diamond amcheat Zari kwa Hamisa lakini anayeumia awe warumi hii inanichekesha Sana.Hiv mtoto mzuri Kama Hamisa mobetto utasemaje ameiba bwana? au EvilSpirit kweli unaweza ukaibiwa na Hamisa mobetto?Mkuu naomba ushirikiano wako tumuite mtoa mada mtoa kinyesi maana hiki ni kinyesi kimetolewa kumpaka binti wa watu nahisi huyu,anakaonea wivu kale katoto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajuaje kama yumo humu halafu acha kufuatilia mambo yasiyokuhusu mbwa wewe kasoro mkuu
Hana Aibu huyu Binti. Juzi Kati alikuwa anahojiwa hapo Wasafi TV kaanza kusema pooh nilishapata mimba 3 (tatu) diamond zote zikaharibika. Ya NNE ndio akazaliwa huyu Dylan ambae tulimfanyia DNA kuzibitisha Baba yake ni Dai. 100% ikawa proved. Sijui mimba moja iliharibika tuliposafiri kwenda Nchi gani sikumbuki. Why all these details!!??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa unafuata nini kwa mtu asiye na akili , hiv inajielewa kweli mbwa wewe kasoro mkia, una laana ya mama ako mbwa wewe
Ni jambo la kushangaa sana,nimeona kuna sehemu anakuambia uache kuingilia yasiyokuhusu wakati huo huo yeye anaingilia yasiyomuhusu.Kuna sehemu nitamuomba ikimpendeza nimuite mpumbavu.Nahisi linamuonea wivu mwenzake kwa kuwa ni mzuri kuliko yeyeHuyo warumi Ni fan wa Zari so lazima amchukie Hamisa as if yeye ndio kaibiwa bwana ( in wanawake voice). Diamond amcheat Zari kwa Hamisa lakini anayeumia awe warumi hii inanichekesha Sana.Hiv mtoto mzuri Kama Hamisa mobetto utasemaje ameiba bwana? au EvilSpirit kweli unaweza ukaibiwa na Hamisa mobetto?
Huyo warumi Ni fan wa Zari so lazima amchukie Hamisa as if yeye ndio kaibiwa bwana ( in wanawake voice). Diamond amcheat Zari kwa Hamisa lakini anayeumia awe warumi hii inanichekesha Sana.Hiv mtoto mzuri Kama Hamisa mobetto utasemaje ameiba bwana? au EvilSpirit kweli unaweza ukaibiwa na Hamisa mobetto?
Piga kelele kwa warumi akeeee...weeeehAcha kumfananisha Zari na huo uchafu usiojielewa
Ni jambo la kushangaa sana,nimeona kuna sehemu anakuambia uache kuingilia yasiyokuhusu wakati huo huo yeye anaingilia yasiyomuhusu.Kuna sehemu nitamuomba ikimpendeza nimuite mpumbavu.Nahisi linamuonea wivu mwenzake kwa kuwa ni mzuri kuliko yeye
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uwiiii warumi🙌Watu wa ajabu sana , utalazimishaje undugu sasa, na mama diamond kashasema yeye ndo Boss, huyo chuchunge atachezewa had hyo ununue ikae kama Kaburi la pharao