Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
Umemsahau Balozi wa Cuba nae alijitambulisha Jana.πUVCCM _ TAIFA
JUNI 08, 2022
PICHA NA MATUKIO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akipokea hati za utambbulisho wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania.
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
[emoji91][emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]View attachment 2253998View attachment 2253999View attachment 2254000View attachment 2254001View attachment 2254002View attachment 2254005
Kwani akiweka wote ndo uzi utafaana? ππ sisi hatuli ubalozi, bei ghali sana ya vitu mtaani. Mkuu wa nchi huwezi kusema kila kitu kitapanda bei halafu wafanyabiashara wakakuacha salama. Kauli ya mkuu ina uzito sana ndo maana hawakuona noma kukimbiza bei juuUmemsahau Balozi wa Cuba nae alijitambulisha Jana.π
Wivu ππKwani akiweka wote ndo uzi utafaana? ππ sisi hatuli ubalozi, bei ghali sana ya vitu mtaani. Mkuu wa nchi huwezi kusema kila kitu kitapanda bei halafu wafanyabiashara wakakuacha salama. Kauli ya mkuu ina uzito sana ndo maana hawakuona noma kukimbiza bei juu
π mama anapelekewa moto kanda ya ziwa kwa wasiojipendekeza. Sisi hata Jpm alikuwa akizingua anaambiwa ukweli mambo ya unafiki si jadi yetu. ππmuulize had baadhi ya maeneo aliogopa kwendaWivu ππ
Ni kwa sababu anawadekeza na ni mstaarabu na anajali maisha yao..π mama anapelekewa moto kanda ya ziwa kwa wasiojipendekeza. Sisi hata Jpm alikuwa akizingua anaambiwa ukweli mambo ya unafiki si jadi yetu. ππmuulize had baadhi ya maeneo aliogopa kwenda