'Mama Anatosha' Hii ndiyo kauli mbiu ninayotamba nayo mitaani kwangu na kuungwa mkono kwa wingi

kama anatosha hakuna haja ya kumtetea wala kutumia nguvu kubwa kusema aliyoyafanya kazi nzuri hujitangaza yenyewe wananchi ambao maeneo husika kwa mambo aliyofanya hawana haja ya kuambiwa kua yamefanyika 1.2au 3 wao wanajua!
 
Watoto chini ya miaka 5 wamefutiwa bima ambayo ilikuwepo kabla hajaja!!

Ikiwa ni Mama, anafutaje bima ya vichanga?

Anatosha vp sasa!!!
 
Aisee, huyu anakutosha peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…