Dat mean u hv .....View attachment 422138I'm very honest and genuine portrayal of Africa.
Kweli tupu Kiongozi.Akhsante mkuu kunikumbusha enzi ya kiu ya kweli ya ukombozi kwa mtoto wa AFRICA.,lakini mbona kama vile movement hizi zimekuja kumezwa zikaishia njiani,sasa hivi hata music 99% ni mapenzi tu.
Usisahau hua pia tunaadhimisha siku ya MTOTO WA AFRIKA watoto wenye dhiki na shida kupita kiasi... Poor African leaders.Hivi viongozi wetu wanajisikiaje kwa mateso haya kwa mtoto wa kiafrika?Inakuwaje wawe radhi kwa vita hata vya wenyewe kwa wenyewe??Na mateso haya ni mpaka lini kwa MAMA NA MTOTO ndani ya AFRIKA???
Ngozi nyeusi ni tatizo kubwa sana! USA mitaa wanaokaa weusi huwezi amini uko MarekaniHivi viongozi wetu wanajisikiaje kwa mateso haya kwa mtoto wa kiafrika?Inakuwaje wawe radhi kwa vita hata vya wenyewe kwa wenyewe??Na mateso haya ni mpaka lini kwa MAMA NA MTOTO ndani ya AFRIKA???
HakikaUkitazama kwa undani unapata ni ubinafsi kwani hata wakipata they don't share.
View attachment 422638
Siamini sana kama ni ngozi,kwani wapo wengine wengi wako bright na moyo wa kutoa na kusaidia wanao ila wabanwa na system inayoongoza nchi,Afrika na dunia kwa ujumla.Ngozi nyeusi ni tatizo kubwa sana! USA mitaa wanaokaa weusi huwezi amini uko Marekani