Wamesema hivi: ccm wao wataanzisha mahakama ya kushughulikia mafisadi; act wao wanataka kuwarejesha wananchi huko nyuma kwenye azimio la tabora wakati ukawa wao wameahidi kurejesha katiba mpya - transformative consitution.
Kwa maelezo yao ya ukawa inaelekea kwenye mabadiliko yanayohitajika kwa taifa hili