Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,460 Reaction score 110,174 Nov 7, 2022 #21 Sampdoria said: Mbona wanasema aligongwa na Nyoka Click to expand... Huo ni uongo mzee Citizen B said: Waafrika tunabakwa sana...Hamjui cleopatra alikuwa mweusi kama Lami? Click to expand... Aliyekudanganya kuaalikua mweusi ni nani?? Hevu niulize nikupe stor nzima ilikuaje hadi akawa Mtawala wa misri japo hakua mmisri. Ask... Mzingo said: Ni kweli kiasi gani? Alisoma hisabati gani? Isijekuwa aliishia hasi na chanya Click to expand... Sio kweli akua ana Akili sana. Misri aliyeijenga kua hivo ilivyo ni Imhotep, je wamfahamu huyu mtu na alifanya nini?? Kingsmann said: Tisha sana mkuu[emoji109][emoji109][emoji109] Click to expand... Much obliged Sir. Salute ✌️
Sampdoria said: Mbona wanasema aligongwa na Nyoka Click to expand... Huo ni uongo mzee Citizen B said: Waafrika tunabakwa sana...Hamjui cleopatra alikuwa mweusi kama Lami? Click to expand... Aliyekudanganya kuaalikua mweusi ni nani?? Hevu niulize nikupe stor nzima ilikuaje hadi akawa Mtawala wa misri japo hakua mmisri. Ask... Mzingo said: Ni kweli kiasi gani? Alisoma hisabati gani? Isijekuwa aliishia hasi na chanya Click to expand... Sio kweli akua ana Akili sana. Misri aliyeijenga kua hivo ilivyo ni Imhotep, je wamfahamu huyu mtu na alifanya nini?? Kingsmann said: Tisha sana mkuu[emoji109][emoji109][emoji109] Click to expand... Much obliged Sir. Salute ✌️
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,732 Jan 22, 2023 #22 Hata nyerere/Kikwete siku za mbeleni hukooo wataitwa wazungu nyie subiri tu!
Nyabutoro JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 1,342 Reaction score 1,603 Jan 22, 2023 #23 Unge itaarifu hadhara hii juu ya matumizi ya andiko la Mbwana Alyamtu Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Unge itaarifu hadhara hii juu ya matumizi ya andiko la Mbwana Alyamtu Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app