Malipo ya Sales agents

Mama mamu

New Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu. Mimi nilikuwa nauliza malipo ya sales agents wa NBC yanakuaje kwa waliowahi kufanya hii kazi miaka ya nyuma
 
Badala uwaze utafanyaje kazi ukuze career yako unakuja kuuliza mshahara

Kuna madogo nawasaidia kuwatafutia nafasi za kazi, na kuwaombea

Maswali Yao haya haya ,wanalipa Bei gani

Kizazi kinawaza maslahi tu, wakati huna ujuzi wala experience yoyote
 
Iko hivyo nilienda akiba..... Ikawa ni 3,000 per akaunti........ Ila Kuna bonus kwa zile akaunti ulizofungua zikifikisha deposit fulani ndo utapata bonus

Na commission Ina kuwa withheld.....
Ko mfano NBC per month kjn amefungua 10,X 1000=10k...Na kama hawajaweka hela =, Mshahara analaza 10k kwa Mwezi kwl
 
Ko mfano NBC per month kjn amefungua 10,X 1000=10k...Na kama hawajaweka hela =, Mshahara analaza 10k kwa Mwezi kwl
Yule dada alinambia ni kujitoa hasa mpk akawa anatafuta kazi nyingine.... Yaan ni hivyo na kila week wanakulipa kwa kazi yako.....

Honestly hata sijui niseme nn Ila Hali halisi ni hiyo mkuu wangu
 
Yule dada alinambia ni kujitoa hasa mpk akawa anatafuta kazi nyingine.... Yaan ni hivyo na kila week wanakulipa kwa kazi yako.....

Honestly hata sijui niseme nn Ila Hali halisi ni hiyo mkuu wangu
Ni msoto sio powah asee,manake hakumaliza mkataba huyo dada
 
Badala uwaze utafanyaje kazi ukuze career yako unakuja kuuliza mshahara

Kuna madogo nawasaidia kuwatafutia nafasi za kazi, na kuwaombea

Maswali Yao haya haya ,wanalipa Bei gani

Kizazi kinawaza maslahi tu, wakati huna ujuzi wala experience yoyote
Ni haki ya muomba ajira kujua atalipwa bei gani
 
Eeeh passion ipo kingine akaniambia huwa wanafunga safari bank km bank leo tutakuwa bagamoyo..... Kesho tabata, kesho ukonga hivyo

Tofaut na wale kama wa akiba kama unaishi manzese basi ndo utapangiwa location yako huko
Mkuu samahani,apa ugumu wake yeye katika kazi hii kwa mawazo Yake ni yapi kiujumla?
 
Habari zenu. Mimi nilikuwa nauliza malipo ya sales agents wa NBC yanakuaje kwa waliowahi kufanya hii kazi miaka ya nyuma
250,000/= per month

Lakini pia kuna bonus ukifikisha wateja 50,100,150,200,etc

Ila hio kazi kupata ni changamoto km wewe sio fresh graduate wa 2024 hupati bora ukomae na shughuli zako za uwakala

Nimekupa angalizo hawajasema ila ndio agenda yao mabank yote ACB, CRDB, etc ni kuchukua fresh graduate kuendana na wimbi la ukosefu wa ajira kwa hawa watoto waliozagaa mtaani wapo wapo tu ajira hawana ndio wanawapa mitaji miezi 6 mkataba unasema hivyo ukipiga 250,000 × 6 = mtaji tosha hapo bado hujakunja bonus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…