NAJIULIZAGA MASWALI SANA KUHUSU HII BIMA YA AJALI TUNAYOKATAKA KWENYE VYOMBO VYETU VYA USAFIRI, MTU AMEKATA BIMA AJALI IKITOKEA MNATAKA MALIPO HADI MFIKISHANE MAHAKAMA, KWANINI TRAFIK ASIJE TU APIME MWENYE KOSA GARI YAKE ITENGEZE GARI NYINGINE, KULIKO KUJAZA MAKESI MAHAKAMANI, MAHAKAMA ZINA MAMBO MENGI YA KUFANYA, HEBU HILI WAKUU TULIANGALIE