πΊ Una King'amuzi cha CANAL+ na hujui wapi pa kulipia?
Usiwe na wasiwasi! ONE TECH tupo kwa ajili yako πͺ
Tunatoa huduma zote zinazohusiana na CANAL+ ikiwemo:
β
Kuuza dekoda mpya
β
Kulipia vifurushi kwa urahisi
β
Ushauri na msaada wa kiufundi
π Kwa Tsh 47,000 au 51,000 tu, unaweza kulipia kifurushi chako na kufurahia mechi LIVE za:
β½ UEFA Champions League
β½ Europa League
β½ CAF Champions League
β½ CAF Confederation Cup
β½ EPL, LaLiga, Bundesliga, Serie A, Ligue 1, na zingine kibao!
π Wasiliana nasi sasa: 0629 439 450
ONE TECH β Huduma Bora, Bei Nafuu!