Umeona uzi wangu wa vifaa vya saluni? Unajua kama kibaha kuna location ya chuo na watahitajika vinyozi? [emoji4][emoji4]
Ukitaka kujua kama berbershop kaa mitaa ya uswahilini ni michosho muulize mwanangu Sapari, location iweke K/Koo.....[emoji16] au mijini ambapo watu wataset hata 5000 kwa huduma, apo ume win, hata hivyo ile itakuwa rahisi kwa kama ukawapangia wafanyakazi kiasi unacho kihitaji, kulingana na tathimini y mapato ya siku.