Malipo Internship ya Udaktari

Pesaa utapeqa mzee pesa za Serikali hazilipwii kama Unalipa vibarua per dm..!! Mil 1.2 unataka uipate kama unaokota mia 200 utapewa tu kijana na zitaishaaa
 
Hapo kujanja ni kwenda kufanyia intern sehemu ambapo huwa wanatoa pesa bila kutegemea mpk serikali itume pesa.wao kama hospital wanawalipa interns then wanasubiri serikal ikilipa wana replace
 
mitano 5 tenaaaa
 
Anajua vizuri sana kuwa intern siyo mwanafunzi. Anachosema serikali za wanafunzi walipigie kelele kwani Hilo tatizo linajirudia mwaka hadi mwaka.
Sasa serikali ya mwanafunzi asiye hata na transcript atazungumziaje tatizo la intern?
 
Hapo shida ni hazina ndio wanalipa hizo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…