emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 133
Intern sio mwanafunziTurudi nyuma kidogo, hivi serikali za wanafunzi zina majukumu gani ?
Anajua vizuri sana kuwa intern siyo mwanafunzi. Anachosema serikali za wanafunzi walipigie kelele kwani Hilo tatizo linajirudia mwaka hadi mwaka.Intern sio mwanafunzi
Ndio maana nilisema turudi nyuma kidogo, Intern si alikuwa mwanafunzi ?Intern sio mwanafunzi
Hahahaha chamoto tunakiona, ubaya zaidi hata call allowances hakuna siku hizihapa kazi tu.,mi tano tena vijana huko chuoni si mnaona dili kuwa na kadi za ccm na mnajivika na cheo cha uzalendo
Wito ndo kufanya kazi bila pesa hata ya kula???Kuweni wazalendo au wakati mnaanza kusoma hamkuambiwa kwamba udaktari ni wito.
Hapo ndio tunawapima madaktari wazalendo na wenye wito.
Labda hauelewi maana ya uzalendo na wito..!!!Wito ndo kufanya kazi bila pesa hata ya kula???
So wito ni kufanya kazi bila malipo ,???Labda hauelewi maana ya uzalendo na wito..!!!
Wito ndo kufanya kazi bila pesa hata ya kula???
Kwani kuna huduma inanunuliwa kwa uzalendo? Mbona wao wanajilipa maslahi yao?hapa kazi tu.,mi tano tena vijana huko chuoni si mnaona dili kuwa na kadi za ccm na mnajivika na cheo cha uzalendo